Dkt.Bilal akiingia Ukumbini kushiriki katika mkutano huo akiwa Mgeni Rasmi
Washiriki kutoka Burundi katika pozi la kufuatilia hotuba .
Washiriki kutoka Sudani Kusini wakiwa katika mkutano huo
Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mama Mapunjo akihutubia washiriki katika mkutano huo.
Washiriki wakisikiliza hotuba ya mgeni Rasmi Dkt. Bilal
Dkt.Bilal akihutubia katika mkutano huo. Hapa alikuwa akiweka vionjo vya maneno na kuacha washiriki kumshangilia na kupiga makofi.
Washiriki wakipongeza Hotuba ya Mgeni Rasmi kutoka kwa Dkt.Bilal
Dkt. Bilal akapiga picha za pamoja na washiriki wa mkutano kutoka nchi wanachama zaidi ya sita.
Wajumbe kutoka Burundi
Wajumbe kutoka Sudani Kusini
Wajumbe kutoka Ethiopia
Wajumbe kutoka Uganda
Dkt. Bilal akizungumza na vyombo vya habari baada ya kufungua mkutano huo
Maonyesho ya bidhaa za kibiashara kutoka kwa washiriki wa mkutano.
PICHA ZOTE NA: Yakubu Mkaka